Game Of Thrones Na Waigizaji Halisi Wa Filamu Za Ngono!
Game of Thrones moja ya series kali sana, kwa Bongo kuna watu kadhaa nimewahi kuongea nao kuhusu GOT hususani mapenzi yao, kipi kinawavutia zaidi.
Kuna watu ambao waliniambia mojawapo ya kitu kilichowafanya wakapenda GOT ni uwepo wa Scenes za mapenzi..tena sio mapenzi bali mapenzi ya hatari!
Kila mtu ana ladha yake anayotaka katika filamu, lakini nataka nikuambie kuwa Ubora wa sex scenes katika GOT kwa kiasi kubwa umechangiwa na waigizaji kadhaa ambao wamewahi kuwa waigizaji maarufu wa mikanda ya ngono (Porn stars).
GOT Katika seasons za mwanzo walitumia mastaa kadhaa wa mikanda ya ngono ili kuleta uhalisia wa scenes kadhaa.

1. Sibeli Kekilli
Huyu anafahamika sana, alikuwa chakula nzuri ya Tyron Lannister . Lakini kabla hujamuona katika GOT kuanzia miaka ya 2002 mwanadada huyu alikuwa akifahamika katika kiwanda cha uandaaji wa filamu za ngono. Jina maarufu alilokuwa akitumia ni Dilara’ na hiyo ndiyo iliyompa tiketi nzuri mpaka tukamuona katika GOT2. Sahara Knights
Alikuwa ni mmoja ya wanafunzi wa Littlefinger katika nyumba ya mfalme kama unamkumbuka vizuri, lakini kabla ya hapo aliwahi kushirika katika filamu za kikubwa zaidi ya 60 akitumia jina hilo hilo kama lilivyoandikwa hapo juu.
3. Aeryn Walker
Huyu bhana utakuwa ulimuona katika Season 04, kitu cha utofauti kwake alikataa kuigiza kama namna kazi yake anayoifanyakatika maisha halisi. Alichoigiza katika GOT ni kama mmoja wa mke Craster’ mtu mwenye unyama wake ambae alikuwa akiishi upande wa North of the Wall’
4. Maisie Dee
Huyu kwenye GOT utakuwa ulimuona katika msimu wa pili nae akiwa kama mmoja ya wanafunzi katika nyumba ya Littlefinger’ lakini nje ya hapo ni mmoja ya waigizaji maarufu wa mikanda ya ngono.
5. Samantha Bentley
Huyu alionekana katika S04 kama mmoja ya wanawake wanaojiuza kwa Davos Seaworth’ lakini nae nje ya maisha yake halisi ni Porn star maarufu ambae kashinda tuzo kabisa ya mambo ya ngono mwaka 2013

umejitahidi sana kaka, mwanzo mzuri, pambana ya hela yote....
ReplyDeletemaoni yangu ni kuhusu background nzuri zitakazotuvutia sisi wasomaji wako . Zaidi ya hapo tunategemea mengi Zaidi kutoka kwako.....
This comment has been removed by the author.
Delete