MAAJABU YA KABILA LA KIKAYAN⠀



Kabila hili linapatikana katika nchi ya MYANMAR wanawake wa kikayan huanza kuvaa bangili shingoni toka Wakiwa wadogo Sana na kadri wanavyo zidi kukua bangili mpya huongezwa⠀
Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba wakizivua kichwa huangukia begani na kuwasababishia kifo bangili hizo huvuliwa chini ya uangalizi wa daktari ⠀
wanaume wa kikayan wao hawaoi mwanamke asiye na bangili shingoni⠀
mpaka sasa hakuna mtu anaye jua utamaduni huu alianzisha Nani na kwa sababu gani

Hawa wanawake wameweza kuzitoa bangili kwa msaada wa madaktari.Hapo wakitingishwa kwa nguvu kidogo tu wanakufa.


Huyu mtoto ndio kwanza ameanza na bangili chache lakini kadiri anavyokuwa ndio pingili mpya huongezwa.

Shingo ikifikia urefu huu huwa misuli yake inalegea kabisa.






Gusa hapo chini kutazama video



Comments

Popular posts from this blog